Skip top horizontal navigation section
2010 Census Website
For the following combo box, to make a selection, press enter then alt plus down arrow and use the up and down arrows.


Photo of Americans
Skip main content area to page footer navigation

Kiswahili/Swahili *

* Users may need to install language specific fonts to view these pages

Kuhusu Sensa ya 2010

Ili kupata uwakilishi wa kisiasa wa haki na huduma jumuia zetu zinahitaji mustakabali madhubuti, lazima kwanza tufahamu sisi ni nani kama taifa. Ndio maana kuna sensa.

Sensa ya Marekani inahesabu kila mkazi nchini Marekani. Imedhaminiwa na Kifungu I, Fungu 2 la Katiba, na huchukua nafasi kila miaka 10. Data inayokusanywa na sensa inabainisha idadi ya viti lilivyo kuwa navyo kila jimbo katika Baraza la Wawakilishi nchini Marekani. Serikali za jimbo na mtaa pia zinatumia sensa kubaini mamlaka za kisiasa - pamoja na Majimbo ya bunge, mabaraza ya kutunga sheria ya nchi, halmashauri za mji au wilaya, na bodi ya majimbo ya shule - kuhakikisha kuhakikisha uwakilishi wa haki katika kila kiwango cha serikali.

Lakini haikomei hapo. Data za sensa zinatumika kugawanya mabilioni ya madola katika mifuko ya shirikisho kwa jumuia za ndani kwa ajili ya huduma kila mwaka, zikiwemo:

  • Huduma za dharura
  • Huduma za afya
  • Shule
  • Barabara
  • Vituo vikubwa na mengineyo

Sensa ya 2010 ilikuwa ndio harakati kubwa zaidi ya kushiriki raia iliyowahi kushuhudiwa katika nchi yetu. Mnamo Machi ya 2010, fomu fupi ya maswali 10 ilisambazwa katika kila kaya nchini Marekani na Puerto Rico. Takriban asilimia 74 za kaya zilirejesha fomu zao za sensa kwa barua; kaya zilizobakia zilihesabiwa na wafanyakazi wa sensa kwa kutembelea majirani Marekani nzima.